Jifunze Fasihi Simulizi kwa Urahisi | New Era School

Fasihi Simulizi ni moja ya mada muhimu katika somo la Kiswahili. Katika video hii, tunajifunza:

  • Maana ya Fasihi Simulizi
  • Aina kuu za Fasihi Simulizi (Methali, Vitendawili, Hadithi, Nyimbo, Mashairi ya Kienyeji n.k.)
  • Umuhimu wa Fasihi Simulizi katika jamii yetu

Video hii inafaa kwa wanafunzi wa shule za upili na kidato cha tatu na nne (Form 3 & 4)